
SIMBA YAPANGWA NA RED ARROWS MTOANO SHIRIKISHO AFRIKA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi ya kupambana mbele ya Red Arrows FC katika mchezo wa kwanza ambapo watakuwa nyumbani. Baada ya Simba kufungashiwa virago katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa sasa kazi yao ni kwenye Kombe la Shirikisho. Itakuwa ni…