
MALENGO YA SIMBA NI KUTWAA MATAJI
MIRTAZA Mangungu, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuhakikisha kwamba wanashinda mataji. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi wakiwa nafasi ya pili na pointi 14 huku Yanga wakiwa ni vinara wa ligi na wana pointi 16. Maneno hayo ameyasema katika mkutano mkuu wa Wanachama wa Simba ambao unafanyika…