
HUYU NI KOCHA MPYA YANGA SC CV YAKE
ROMAIN Folz kocha mpya wa Yanga SC ana balaa zito akiwa ni kocha kijana. Kocha…
ROMAIN Folz kocha mpya wa Yanga SC ana balaa zito akiwa ni kocha kijana. Kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 2024/25. Miloud alipewa Thank You Julai 3 2025 hivyo hatakuwa ndani ya Yanga SC msimu wa 2025/26 amepata changamoto mpya Klabu ya Ismaily SC ya Misri….
DILI la kiungo wa Azam FC Feisal Salum kuibukia ndani ya kikosi cha Simba SC ni gumu kutokana na mkataba wake uliobaki na gharama za uhamisho ambazo zipo. Ilikuwa inaelezwa kuwa Feisal anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC ilianza hivyo tangu dirisha dogo la msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba miongoni mwa viungo wazawa…
LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi rahisi. Kouma mwenye miaka 21 anazima dili la Yanga SC kuiwinda saini ya Feisal Salum wa Azam FC ambaye ana nguvu kubwa katika mguu wake wa kulia. Katika Ligi…
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet, wanasema kuwa leo hii ndio nafasi nzuri ya wewe kuondoka na ushindi mkubwa kwani zaidi ya timu 100 zipo uwanjani leo hivyo anza mapema safari yako ya ushindi sasa. Fulham FC atamenyana vikali dhidi ya Nottingham Forest ambao hawa wote wanakipiga kule Uingereza EPL. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili,…
Katika ulimwengu wa kubashiri na michezo ya kasino, ushindani ni mkubwa lakini Meridianbet imejihakikishia nafasi ya kipekee kwa kutoa huduma bora na zawadi kabambe kwa wateja wake. Na sasa, kama mteja waaminifu wa Meridianbet, unayo sababu kubwa ya kutabasamu kila Ijumaa. Kampuni hii inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania imezindua bonasi ya kipekee ya…
Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kumsajili beki kinda mwenye kipaji, Cristhian Mosquera, kutoka klabu ya Valencia ya Hispania kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia Euro milioni 15 . Mosquera, mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba wa miaka mitano na chaguo la kuongezewa mwaka mmoja zaidi, ikiwa ni ishara kuwa kocha Mikel Arteta ana mpango…
LEO Julai 24, 2025, kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group, Sinza – Mori, ikiwa ni kazi ya pili ya fasihi kutoka kwa mtunzi mahiri Lunyamadzo Mlyuka, aliyejipatia umaarufu kupitia kitabu chake cha awali Ganzi ya Maumivu. Kitabu hiki ni simulizi ya kusisimua inayochambua kwa kina…
Kiungo mahiri kutoka Ivory Coast, Pacome Zouzoua,inasemekana ameshasaini mkataba mpya na klabu ya Yanga SC siku nyingi zilizopita, muda mfupi tu baada ya fainali ya Kombe la CRDB. Kwa mujibu wa taarifa za ndani, mkataba huo wa miaka miwili ulitayarishwa na kusainiwa kipindi hicho, huku mpunga ukishalipwa rasmi fedha ambazo Zouzoua hakupoteza muda kuzitumia kujenga…
Kama kawaida ni siku nyingine pendwa kabisa ambapo mechi kibao za kufuzu Europa League msimu ujao zinapigwa. Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo uyatakayo na wewe unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi lako tuu. Mteja wa Meridianbet unaweza ukabashiri mechi ya FC Banik Ostrava dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland. Meridianbet kwanza wameipa mechi hii ODDS 2.41…
Klabu ya Yanga imetangaza hatua kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/2026, kwa kuthibitisha kuachana rasmi na wachezaji wake nyota watano, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya maboresho ya kikosi hicho kuelekea mashindano ya ndani na ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka klabuni, wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya mipango…
Klabu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi Romain Folz, kocha raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 35, kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Utambulisho huu unakuja baada ya aliyekuwa kocha, Miloud Hamdi, kutimkia klabu ya Ismaily ya nchini Misri. Romain Folz, ambaye ni mzaliwa wa Bordeaux, Ufaransa, anakuja na wasifu mzito uliopambwa na uzoefu…
Kwa mashabiki wa michezo ya namba hasa Lucky 6 na Keno, huu ndio wakati wa kuibadilisha Ijumaa yako kuwa tukio la ushindi. Meridianbet wameamua kukupa sababu ya kucheka hata pale bahati inapochelewa kukuangukia. Kupitia promosheni ya Lucky Friday, kila dau lako la Ijumaa linakupa tiketi ya kupata 10% ya kiasi ulichopoteza kama cashback kila Jumamosi….
Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa Mlandege, Abdulnassir Mohammed Abdallah, maarufu kama “Casemiro”, kwa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa kiungo huyo mahiri ulimalizika tangu Julai 2, 2025, lakini klabu hiyo imemtambulisha rasmi leo, ikiwa ni sehemu ya mipango yao ya kusuka kikosi imara na chenye…
Klabu ya ES Sétif ya Algeria imethibitisha kumsajili rasmi aliyekuwa winga wa Azam FC, Gibril Sillah (26), raia wa Gambia, kwa mkataba wa miaka miwili. Sillah ameondoka Azam FC baada ya kuitumikia kwa kipindi cha misimu miwili, ambapo aliweka alama ya kudumu akicheza jumla ya mechi 68, kufunga mabao 21 na kutoa asisti 10 kwenye…
Jumatano ya leo imeanza vyema kabisa kwenye kituo cha watoto yatima cha Faraja Orphanage Centre kule Mburahati Maziwa baada ya kupokea ujio wa Bittech na KMC ambao walifika kwaajili ya kutoa msaada kwa watoto hao. Kituo hicho cha Faraja Orphanage Centre kina watoto wengi ambao pia wanahitaji msaada kutoka sehemu mbalimbali kwani hata kwenye vitabu…
YANGA SC hawana jambo dogo mara baada ya kumalizana na mashine ya mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhamiwaniwa na NBC. Msimu wa 2024/25 nyota huyo alikuwa kwenye ubora akiwa ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Tabora United. Ni Kiungo mshambuliaji aliyekuwa Tabora United, Offen Chikola alitambulishwa Yanga SC Julai 22 2025…
Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon kuhusu usajili wa mshambuliaji raia wa Sweden, Victor Gyökeres, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €63.5 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni kulingana na mafanikio mbalimbali. Gyökeres (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano ambao utamweka Emirates hadi Juni 2030. Mshambuliaji huyo aliyeng’ara msimu uliopita…