Home Sports HT:YANGA 1-0 SIMBA, NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

HT:YANGA 1-0 SIMBA, NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

UWANJA wa CCM Kirumba, dk 45 za kipindi cha kwanza kwa watani wa jadi kutoana jasho zimekamilika na ubao unasoma Yanga 1-0 Simba.

Dakika 15 za mwanzo ilikuwa ni msako kwa kila timu kutafuta bao la kuongoza ambapo hakukuwa na aliyeweza kuona lango la mpinzani.

Yanga ilibidi wasubiri mpaka dk ya 25 huku mtupiaji akiwa ni Feisal Salum kwa shuti kali akiwa nje ya 18 likamshinda mlinda mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya.

Previous articleBENO KUANZA,KIKOSI CHA SIMBA V YANGA
Next articleYANGA YATINGA FAINALI KWA KUITUNGUA SIMBA