Safari ya kuwa Milionea huanza kwa nia ya dhati kabisa lakini pia hufuata na juhudi ambazo mtu amewekeza, lakini kupitia Meridianbet wanakwambia unachotakiwa kufanya kutimiza ndoto hizo ni kusuka jamvi pekee. Ushindi upo nje nja hapa.
Kwanza kabisa pesa ipo kwenye mechi hii ya LALIGA ambapo Atletico Madrid wataanza kampeni yao ya kusaka taji la ligi dhidi ya Malaga ambao ndio wamepanda daraja msimu huu, hivyo hii ni mechi ambayo kila timu inataka kuanza ligi kwa kukusanya pointi tatu.
Diego Simeone na vijana wake msimu huu wanataka kuanza vingine kabisa baada ya msimu uliopita kumaliza bila kombe lolote. Walimaliza nafasi ya 4 ambayo inawafanya wao kucheza UEFA msimu huu, lakini lengo la ni ubingwa wa ligi.
Na kufanikisha hilo, dirisha hili irisha hili kubwa la usajili imewaongeza wachezaji akiwemo Romero aliyekuwa Spurs na wengine lengo likiwa ni kuimarisha kikosi, lakini pia wameondokewa na aliyekuwa mshambuliaji wa Griezmann. Uwepo wa wachezaji kama Lookman Ademola, Solorth na wengine kunawafanya wawe na nafasi kubwa ya kushinda mechi hii.
Mkwanja upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa Malaga wao ni timu ambayo ndio kwanza imepanda daraja ligi kuu hivyo uzoefu wa ligi bado hivyo Atletico wanaweza kuwa na faida zaidi kwani pia wanacheza mbele ya mashabiki zao. Timu hiyo wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi 3 za mwisho walizokutana. Odds kubwa zipo mechi hii. Beti hapa.
NBC PREMIER LEAGUE yaani ligi kuu ya Tanzania kitawaka haswa, Pamba Jiji watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Simba ambao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya kwanza ya ligi, huku wenyeji wao wakiambulia sare.
Pamba anahitaji kupata ushindi wa kwanza, huku Mnyama yeye akizihitaji pointi 3 za mchezo huu ili kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa. Je nani unampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.
Lakini pia takwimu zinaonesha kuwa mechi 4 za mwisho kukutana timu hizi mbili, Vijana wa Steve Barker walishinda mechi 4 na kutoa sare mchezo mmoja, hivyo Pamba toka apande ligi kuu hajawahi kupata matokeo ya ushindi mbele ya Mnyama.
Msimu huu Simba wanawinda ubingwa kwa hali na mali baada ya kukosa ubingwa kwa takribani misimu mitano mfululizo huku wakiwa wamewekeza kwenye usajili mkubwa lengo likiwa ni kufanya vyema kwenye ligi na mashindano mengine. Je ujio wa Chilambo, Doumbia, Jabaar na wengine wengi kutawapa makombe?. Suka jamvi hapa.
