
SIMBA WAPIGWA MKWARA, WAAMBIWA WASUBIRI
KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kuwa hataki kuuzungumzia mchezo wa Kariakoo Dabi na kikubwa yeye anataka kuonyesha ubora na uwezo wake uwanjani kesho Jumamosi. Hiyo ni katika kuelekea mchezo ujao wa dabi utakaozikutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mganda huyo alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja…