
YANGA:MOTO HAUZIMI
NYOTA wa Yanga, Said Ntibanzokiza ameweka wazi kuwa moto wake ambao ameuwasha ndani ya ligi hautazima kwa kuwa anamalengo makubwa katika kutimiza majukumu yake. Kwenye mabao 12 ambayo yamefungwa na timu hiyo ametupia mabao mawili na yote ni kwa mapigo huru ilikuwa mbele ya Namungo alipofunga kwa penalti na mbele ya Mbeya Kwanza alipofunga kwa…