
PABLO AGOMEA KUPANGIWA KIKOSI
KATIKA kuelekea Kariakoo Dabi, Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa hatampanga mchezaji kwa kuangalia historia pekee. Dabi hiyo itakayowakutanisha Simba dhidi ya Yanga, inatarajiwa kupigwa Desemba 11, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Pablo alijiunga na timu hiyo hivi karibuni akichukua nafasi ya Mfaransa, Didier Gomes.Taarifa…