
SIFA ZA KOCHA MPYA SIMBA
WAKATI majina mbalimbali ya makocha yakihusishwa kwenda kurithi nafasi ya Didier Gomes ndani ya Simba, mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu ametaja sifa za kocha wanayemtaka. Mangungu alisema kwa kipindi ambacho wanapitia hivi sasa, wanahitaji kocha ambaye atakuwa tayari kukubaliana na changamoto na kubadili upepo kwa haraka ndani ya timu hiyo. Mangungu aliongeza kuwa, Simba ni kubwa na imepokea maombi na CV za makocha wenye majina makubwa na…