
SIMBA:MAGUMU TUNAYOPITIA YATAKWISHA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa magumu ambayo wanayapitia kwa sasa yana muda kwa kuwa wanapambana kurudi kwenye ubora uliozoeleka. Ikiwa imecheza mechi tano imeshinda mechi tatu na kukusanya sare mbili ndani ya msimu wa 2021/22 na kinara wa utupiaji ni Meddie Kagere mwenye mabao mawili. Akizungumza na Spoti Xtra, Matola alisema kuwa…