
KOCHA DR CONGO ATABIRI MATOKEO MECHI YA LEO
MWINYI Zahera, aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya timu ya taifa ya DR Congo amesema kuwa matokeo ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya DR Congo ni 50/50 kutokana na hesabu za timu zote mbili. Mchezo wa kwanza walipokutana nchini DR…