>

MATAIFA KUZISAKA TIKETI ZA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2022

Timu za Taifa kuendelea na michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022. Mashirikisho ya soka kwenye mabara yote Duniani kushuhudia timu zao viwanjani. Nani ni nani? Karata yako ya ushindi unaiweka kwa nani kati ya hawa;

 

Kupitia shirikisho la soka barani Afrika (CAF), Tanzania kupambana na DR Congo alhamisi hii. Taifa Stars watakua kwa mkapa wakichuana na The Leopards. Taifa zime la Tanzania, bara na visiwani macho na masikio yatakua uwanjani kuwashangilia Stars ambao wanaongoza kundi kwa pointi 7. Meridianbet tupo sambamba na Stars, Odds ya 2.85 ipo kwa ajili yako.

 

Usiku wa kuamkia Ijumaa, kwenye CONMEBOL kule Amerika Kusini, Uruguay atawaalika Argentina. Huu ni mtanange wa kukata na shoka kwa mataifa haya. Ni timu gani itafuzu? Argentina ataendeleza maumivu ya Uruguay aliyopata kwenye Copa America au itakuwa ni zamu ya Lionel Messi na wenzake kuumia? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Argentina.

Wakati majeruhi yakiendelea kuwamaliza baadhi ya wachezaji na kuzigharimu timu zao. Ufaransa itakuwa uwanjani kuchuana Kazakhstan. Le Blues wanamkosa Paul Pogba ambaye aliumia mazoezini na hivyo kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo. Ushindi ndio tiketi ya kuivusha Ufaransa na kwenda kutetea ubingwa wao wa Dunia. Kupitia Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 1.03 kwa Ufaransa jumamosi hii.

 

Jumapili tunaimaliza kwa mtanange wa vigogo wa Kundi A. Jiji la Lisbon kuipeperusha bendera ya Ureno watakapowaalika Serbia. Mfungaji bora wa muda wote duniani (kwa timu za Taifa), Cristiano Ronaldo ataivusha Ureno? CR7 amekuwa mkombozi wa Manchester United msimu huu, ataendeleza hilo wikiendi hii akiwa na timu yake ya Taifa? Ifuate Odds ya 1.32 kwa Ureno ukiwa na Meridianbet.

 

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!