
YANGA YAMNASA CASEMIRO WA ZANZIBAR KUTOKA MLANDEGE!
Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa…
Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi kiungo mkabaji wa Mlandege, Abdulnassir Mohammed Abdallah, maarufu kama “Casemiro”, kwa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa kiungo huyo mahiri ulimalizika tangu Julai 2, 2025, lakini klabu hiyo imemtambulisha rasmi leo, ikiwa ni sehemu ya mipango yao ya kusuka kikosi imara na chenye…
Klabu ya ES Sétif ya Algeria imethibitisha kumsajili rasmi aliyekuwa winga wa Azam FC, Gibril Sillah (26), raia wa Gambia, kwa mkataba wa miaka miwili. Sillah ameondoka Azam FC baada ya kuitumikia kwa kipindi cha misimu miwili, ambapo aliweka alama ya kudumu akicheza jumla ya mechi 68, kufunga mabao 21 na kutoa asisti 10 kwenye…
Jumatano ya leo imeanza vyema kabisa kwenye kituo cha watoto yatima cha Faraja Orphanage Centre kule Mburahati Maziwa baada ya kupokea ujio wa Bittech na KMC ambao walifika kwaajili ya kutoa msaada kwa watoto hao. Kituo hicho cha Faraja Orphanage Centre kina watoto wengi ambao pia wanahitaji msaada kutoka sehemu mbalimbali kwani hata kwenye vitabu…
YANGA SC hawana jambo dogo mara baada ya kumalizana na mashine ya mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhamiwaniwa na NBC. Msimu wa 2024/25 nyota huyo alikuwa kwenye ubora akiwa ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Tabora United. Ni Kiungo mshambuliaji aliyekuwa Tabora United, Offen Chikola alitambulishwa Yanga SC Julai 22 2025…
Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon kuhusu usajili wa mshambuliaji raia wa Sweden, Victor Gyökeres, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €63.5 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni kulingana na mafanikio mbalimbali. Gyökeres (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano ambao utamweka Emirates hadi Juni 2030. Mshambuliaji huyo aliyeng’ara msimu uliopita…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mkataba wake. Ilikuwa inatajwa kuwa kiungo huyo alikuwa…
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kiungo Mudathir Yahya amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Mkataba wa awali wa Mudathir aliyejiunga na Wananchi mnamo Januari 2023 akitokea Azam Fc ulitamatika mwishoni mwa msimu uliomalizika lakini sasa amemwaga wino wa kuendelea kuitisha simu mitaa ya Jangwani kwa misimu miwili…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba SC iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo ikapeperusha bendera kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa msimu wa 2024/25 iligotea kuwa mshindi…
INAELEZWA kuwa baada ya Yanga SC kukamilisha usajili wa beki wa kushoto na nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25, Mohamed Hussein Zimbwe Jr wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la mshambuliaji wa kazi. Mshambuliaji huyo huenda akajiunga na Yanga SC kwa mkopo kwa makubaliano ya pande zote mbili ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…
BEKI wa kati wa Simba raia wa Cameroon, Che Malone leo Jumanne Julai 22 anatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya kukamilisha dili la usajili Klabu ya USM Alger. Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo huenda hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2025/26 kutokana na mabosi wa timu hiyo kufikiria maamuzi ya…
Julai 26 2025 Leaders Club, Kibwana Shomari vs Dennis Nkane pambano la ngumi kwa wababe hawa wawili, kesi ishakuwa nzito.
Kama kuna jambo linalosisimua hivi sasa katika ulimwengu wa burudani ya kubashiri, basi ni uzinduzi wa huduma mpya ya Early Payout kutoka Meridianbet. Hili si jambo la kawaida bali ni mapinduzi halisi katika namna tunavyobashiri soka, na tayari limepokelewa kwa shangwe na wapenda michezo kote nchini Tanzania. Early Payout ni huduma inayokupa nafasi ya kushinda…
Upo tayari kwa ushindi mkubwa?. Leo hii ndio nafasi pekee ya kujipigia ushindi huo kwenye mechi za kufuzu UEFA. Meridianbet imeweka ODDS KUBWA mechi hizi na machaguo zaidi ya 1000 yapo. Katika dimba la Doosan Arena, kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya Viktoria Plzen dhidi ya Servette Geneva ambao hawapewi nafasi ya…
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuanza mwezi ujao katikati huku tayari wakali wa ubashiri Meridianbet wakikuwekea timu zote na ODDS za kushinda ligi kuu. Lakini hizi ndio ambazo mojawapo ataondoka na taji hilo. Timu nyingi zinaendelea na usajili mkali huku Manchester United wao wanaenda mwendo wa polepole kwani licha ya kuishia nafasi ya 16 wamesajili wachezaji wanne…
WAKATI beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye amedumu Msimbazi kwa miaka 11 akitajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC, inaelezwa kuwa kuna beki wa kazi anakuja kumalizana na Simba SC. Chini ya Fadlu Davids, msimu wa 2024/25, Zimbwe Jr alicheza mechi 27 za ligi na alifunga bao moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Coastal…
AZAM FC matajiri wa Dar wamepanga kutumia michuano ya Kimataifa Afrika (Chan) kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao wa 2025/26. Ipo wazi kwamba CHAN mchezo wake wa ufunguzi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 2 kati ya Tanzania ambao ni wenyeji itakuwa dhidi ya Burkina Faso. Tayari Azam FC imekamilisha usajili wa kipa…
Meridianbet wamefanya yao tena. Kama ulikuwa ukidhani wameshatufurahisha vya kutosha kwa promosheni na michezo yao ya kuvutia, basi subiri kidogo, kuna jipya limeingia, na ni burudani isiyojulikana mpaka uijaribu mwenyewe. Mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino mtandaoni, Slotopia, sasa amewasili rasmi kwenye jukwaa la Meridianbet na ameleta mzigo mzito wa michezo ya kisasa yenye kila aina ya…