
CHE MALONE KUONDOKA BONGO, TIMU HII YATAJWA
BEKI wa kati wa Simba raia wa Cameroon, Che Malone leo Jumanne Julai 22 anatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya kukamilisha dili la usajili Klabu ya USM Alger. Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo huenda hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2025/26 kutokana na mabosi wa timu hiyo kufikiria maamuzi ya…