
ZIMBWE JR KUONDOKA SIMBA SC? NGOMA ISHAKUWA NGUMU
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25. Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa ni mchezaji wa Simba SC. Ipo wazi kwamba kwa sasa yupo huru akiwa hajaongeza mkataba na mabosi wake hao…