
MWENDO ALIOANZA NAO PABLO BONGO HUU HAPA
PABLO Franco Kocha Mkuu wa Simba ameanza kwa kushuhudia timu yake ikisepa na ushindi mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ukiwa ni mchezo wake wa kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Didier Gomes alishuhudia ubao ukisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba ambapo mbinu yake ya kuwatumia washambuliaji wawili Kibu Dennis na…