
MANCHESTER UNITED WANYOOSHWA UGENINI
DAVID De Gea kipa namba moja wa Manchester United amesema kuwa wapo kwenye wakati mgumu kwa sasa kutokana na matokeo ambayo wanayapata ila wanawashukuru mashabiki kwa namna ambavyo wanakuwa nao. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Watford 4-1 Manchester United. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Vicarage Road licha ya uwepo wa Cristiano Ronaldo…