
CITY YAONJA JOTO YA JIWE BAADA YA MIAKA MITANO
KLABU ya Manchester City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola juzi walitupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Carabao kwa mara ya kwanza baada ya kuyeyuka miaka mitano. City iliweza kuonja joto hilo la jiwe kwa kutolewa kwa mikwaju ya penalti dhidi ya West Ham United baada ya dakika 90 kukamilika kwa timu hizo bila…