
YANGA:SIMBA WEPESI TU
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Yusuph Athuman, amesema kuwa kama watafanikiwa kujitoa kwa moyo wote katika mchezo dhidi ya Simba, basi anaona wakipata ushindi katika mchezo huo. Yanga kesho Jumamosi wanatarajiwa kupambana na Simba kwenye mchezo wa ligi kuu katika Uwanja wa Mkapa. Mshambuliaji huyo amesema kuwa anaiona mechi dhidi ya Simba ikiwa nyepesi kwao kama…