SIMBA Queens imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi ya Wanawake.
Mchezo huo umechezwa leo Januari 8, Uwanja wa Mkapa na Simba Queens imesepa na pointi zote tatu.
Mchezo ujao utakuwa ni wa mzunguko wa pili na unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mo Simba Arena.