Home Sports VIDEO:ALIYESEPA NA LAKI TANO MBELE YA SIMBA ATAJA KILICHOWABEBA

VIDEO:ALIYESEPA NA LAKI TANO MBELE YA SIMBA ATAJA KILICHOWABEBA

KWENYE mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Simba v Mlandenge ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan, Januari 7 ulisoma Mlandege 0-0 Simba.

Mchezaji bora alichaguliwa kuwa ni Hassan Abdallah na alipewa zawadi na NIC ya shilingi laki tano ameweka wazi kuwa walijipanga kushinda ila ilikuwa tofauti kutokana na uimara wa wapinzani wao.

Previous articleNI YANGA V AZAM, SIMBA V NAMUNGO, KOMBE LA MAPINDUZI
Next articleNYOTA BARCELONA ASAINI ASTON VILLA