
MASTAA YANGA WAOGA MINOTI,ISHU YA MGOMO IPO HIVI
BAADA ya Alhamisi ya Oktoba 28 kusambaa kwa taarifa kwamba mastaa wa Yanga wamepanga kufanya mgomo kushinikiza malipo yao ya bonasi, hatimaye mambo yamewekwa sawana sasa ni full kicheko kwao. Ishu ipo hivi; Alhamisi ya Oktoba 28, 2021, habari kubwa ilisomeka; “Kisa bonasi…Mastaa Yanga watangaza mgomo ilikuwa ni ndani ya Spoti Xtra Alhamisi kisha baadaye stori hiyo ikasambaa kwenye mitandao ya…