
YANGA YAIPIGIA HESABU COASTAL UNION
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara ameweka wazi kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union waanaamini utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo huo wa ligi. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inaongoza ligi ina pointi 29, Januari 16 inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union iliyo nafasi ya nne…