
LUKAKU AOMBA RADHI CHELSEA
STAA wa Klabu ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England, Romelu Lukaku amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo pamoja na kocha wake. Nyota huyo hivi karibuni alitibua hali ya hewa kwa kuwa aliweka wazi kwamba hafurahishiwa na maisha ndani ya timu hiyo na hakuwa na furaha kabisa. Lukaku alizua taharuki alipokuwa akifanya…