Home Sports VIDEO: OFISA HABARI WA SIMBA ATAJA MALENGO,HAIKUWA RAHISI KUWA HAPO

VIDEO: OFISA HABARI WA SIMBA ATAJA MALENGO,HAIKUWA RAHISI KUWA HAPO

AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba ameweka wazi kuwa malengo yake makubwa ni kuweza kuona timu hiyo inaweza kufanya vizuri zaidi kwenye ulimwengu wa mitandao ya kijamii licha ya kwamba kwa sasa inafanya vizuri zaidi pamoja na kuweza kuwazungumzia kwa ukaribu wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Aishi Manula, Pape Sakho na Kibu Dennis.

Simba leo inatarajiwa kucheza mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Selem View saa 10:05 jioni na tayari timu ipo huko kwa ajili ya mchezo huo ambao unasubiriwa kwa shauku na mashabiki.

Ahmed aliibuka Zanzibar muda mfupi baada ya kutanagzwa na Simba na kuweza kuanza kazi.

Previous articleYANGA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KILINET NA N-CARDS
Next articleDAKIKA 45,SIMBA 1-0 SELEM VIEW, KOMBE LA MAPINDUZI