MOJA ya sehemu ambayo hukusanya mashabiki wengi wa mpira ni Viwanja vya Bunju Complex ambapo Simba SC na Simba Queens hufanyia mazoezi.
Usafiri mkubwa kwa mashabiki ni bodaboda na wakati wa mazoezi mashabiki hupanda mpaka juu ya bajaji kutazama maujuzi ya wachezaji.