>

AZAM FC YASHINDA KOMBE LA MAPINDUZI

KIUNGO mpya wa Azam FC Ibrahim Ajibu ameanza kazi na uzi huo katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi na alishuhudia timu hiyo ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Meli 4 City.

Kipindi cha kwanza timu zote mbili zilishuhudia bao moja pekee lililofungwa na Chilunda dakika ya 13 na lilidumu mpaka dakika ya 45.

Kipindi cha pili timu zote mbili zilikwama kuweza kucheka na nyavu kwenye mchezo huo.

Nyota wa mchezo alichaguliwa kuwa Frank Domayo ambaye ni nahodha msaidizi wa Azam FC na alipewa mkwanja kiasi cha laki tano.

KIUNGO mpya wa Azam FC Ibrahim Ajibu ameanza kazi na uzi huo katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi na alishuhudia timu hiyo ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Meli 4 City.

Kipindi cha kwanza timu zote mbili zilishuhudia bao moja pekee lilifungwa na Chilunda dakika ya 13 na lilidumu mpaka dakika ya 45.

Kipindi cha pili Azam FC na Meli 4 City ilikwama kuweka usawa katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

Nyota wa mchezo alichaguliwa kuwa Frank Domayo nahodha msaidizi wa Azam FC na alipewa mkwanja kiasi cha laki tano.