
KIBOKO YA JOHN BOCCO YUPO TAYARI YANGA
DICKSON Job, beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi yupo kamili gado kwa ajili ya kuwavaa Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Desemba 11, Uwanja wa Mkapa. Job anakumbukwa na mshambuliaji bora wa msimu wa 2020/21 John Bocco aliyefunga mabao 16 kwa namna alivyoweza kumdhibiti…