
TABORA UNITED YAANGUSHA TATU MBELE YA WALIMA ALIZETI
SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa…
SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa Tabora, Tabora United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Victorean Adebayo aliyefungua pazia la mabao dakika ya 21, Jonathan Sowah katupia mabao mawili ilikuwa dakika ya 52 na 86. Kwenye…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, uongozi wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa wanaimani kubwa kupata matokeo huku wapinzani wao Yanga wakiwa hawana nafasi yakufunga hata bao kwenye mchezo huo ni kupitia Ofisa Habari wa Fountain Gate, Issa Mbuzi.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini ni ushindi mkubwa ambao utawapa tiketi ya kufuzu hatua ya fainali moja kwa moja kwenye dakika 90 za mwanzo. Timu hiyo chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids,…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kamili kuwakabili wapinzani wao Fountain Gate kuelekea mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025. Tayari kikosi hicho kimesepa Bongo kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Manyara na mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko…
Ikiwa ni Jumamosi ya wewe ndugu mteja kuondoka na kitita cha pesa pale Meridianbet, kampuni hiyo yenyewe leo hii imefika mpaka kata ya Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi. Mapema kabisa timu nzima ya Meridianbet ikiongozwa na Nancy Ingram ambaye ni Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo, walifika katika Ofisi ya Diwani wa…
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa maamuzi tofauti kwa maofisa habari wa vilabu vya Yanga na Simba baada ya kupitia mashauri yaliyowasilishwa mbele yake. Katika kikao chake cha kupitia mashauri hayo, Kamati hiyo ilimkuta na hatia Ali Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, kwa kosa la…
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama FA ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Jambo Kubwa Kuliko East and Central Africa Aprili 16 2025 amesema kuwa ikiwa yaliyosemwa yatakuwa kwenye utekelezaji yataleta matokeo mazuri na kupunguza matumizi kwenye baadhi ya masuala ya viwanja. Mwinjuma amesema kuwa anaamini Simba SC ina nafasi…
Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan. FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴 Arsenal (Agg. 1-5) ⚽ 67’ Vinicius Jr ⚽ 65’…
WABABE wawili ndani ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika, Fountain Gate ambayo Ofisa Habari wao ni Issa Mbuzi na Yanga Ofisa Habari ni Ali Kamwe wanatarajia kukutana Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Aprili 21 2025 kwenye mchezo wa ligi ambao ni mzunguko wa pili. Rekodi zinaonyesha kwamba Fountain Gate ni namba mbili kwa timu ambazo…
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali tayari eneo ambalo timu hizo zitachezwa limewekwa wazi hivyo kila mmoja ameshatambua wapi atakuwa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup ni Yanga hawa watacheza na JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwenye msako wa mshindi atakayetinga hatua ya fainali. Ikumbukwe kwamba…
NYOTA wa Stand United, Msenda Senda aliyepachika bao pekee kwa timu hiyo dakika ya 50 ameweka wazi kuwa walikuwa kwenye mchezo mgumu Aprili 15 2025 dhidi ya Yanga na walipambana kutafuta matokeo jambo ambalo halikuwa upande wake na mwisho wakapoteza. Mbali na mchezaji huyo, Issa Mbuzi ameweka wazi kuwa ni madaraja tofauti yamekutana.
BAADA ya Singida Black Stars kutinga hatua ya nusu fainali uongozi umebainisha kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ili watinge hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga, Aprili 15 2025 walikata tiketi yakutiga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi…
SHABIKI wa Simba, Kisugu ameweka wazi kuwa hakuna wakumzuia Ellie Mpanzu, Kibu Dennis kwenye kutimiza majukumu yao na wachezaji wanakazi kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja kwa kuwa kila mchezaji anapaswa kutambua kwamba kazi yake ni kuwapa furaha.
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wameandika rekodi yao kuwa timu iliyopata ushindi mkubwa ndani ya dakika 90 katika msako wa hatua ya kutinga nusu fainali. Yanga Aprili 15 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga 8-1 Stand United, inatinga hatua ya…
Unataka kuitwa Bosi wa Mtaa? Cheza Kasino leo ushindi ni rahisi, kupitia michezo ya kasino iliyopo Meridianbet unaweza kujikuta unaibuka na ushindi wa Mamilioni. Jisajili sasa Kuwa moja ya Matajiri wapya. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasino wenye safu wima tano zilizopangwa kwenye safu ulalo…
WAJEDA JKT Tanzania wanasubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali ya Aprili 15 2025 kati ya Yanga dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba JKT Tanzania inaingia kwenye orodha ya timu pekee iliyoambulia sare mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne…