JWANENG 0-0 SIMBA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Afrika kwa wawakilishi wa Tanzania wakiwa ugenini ni mapumziko.

Dakika 45 zimekamilika ambapo ubao unasomaJwaneng Galaxy 0-0 Simba.

Ayoub Lakred yupo langoni akitimiza majukumu yake kwenye mchezo wa leo huku Ally Salim akiwa benchi.

Jean Baleke anaongoza safu ya ushambuliaji akishirikiana na Saido Ntibanzokiza kwa kiungo mshambuliaji

Kadi ya kwanza ya njano kwa mchezaji wa Simba ni mali ya Kanouted dakika ya 45.