Home Sports PIGA MKWANJA KWA MECHI ZA LEO, MAN UNITED VS NEWCASTLE UNITED KITAWAKA

PIGA MKWANJA KWA MECHI ZA LEO, MAN UNITED VS NEWCASTLE UNITED KITAWAKA

Soccer Football - Carabao Cup - Fourth Round - Manchester United v Newcastle United - Old Trafford, Manchester, Britain - November 1, 2023 Newcastle United's Joe Willock scores their third goal REUTERS/Molly Darlington

Sehemu pekee ya kujipigia mkwanja wa kutosha wikiendi hii ni pale Meridianbet kwani ligi mbalimbali barani ulaya zimerejea na ndio fursa ya wewe kutandika jamvi lako na Meridianbet ujipigie maokoto.

Meridian wanakua chimbo pekee la uhakika utakaloweza kupiga mkwanja wikiendi hii kwakua wanatoa ODDS KUBWA katika ligi zote kuanzia Ligi kuu ya Uingereza, Hispania La Liga, Ujerumani Bundesliga, Italia Serie A, pamoja na Ufaransa Ligue 1.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Suala la ODDS KUBWA kwa kampuni ya Meridianbet halijawahi kua tatizo kwani wameweka ODDS KUBWA na za kutosha katika michezo ambayo itapigwa wikiendi ili kukuwezesha wewe mteja kujipigia mkwanja wa kutosha.

EPL

Klabu ya Manchester United ambayo imetoka kupata sare kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya Jumamosi hii watakua ugenini kumenyana na klabu ya Newcastle United waliotoka kutoa kipigo kikali kwa Chelsea wikiendi iliyomalizika mchezo huu umepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet.

Arsenal washika mitutu kutoka jiji la London wao wataua nyumbani katika dimba lao la Emirates wakiwakaribisha klabu ya Wolverhampton, Arsenal ikumbukwe wametoka kutoa kipigo kizito kwenye ligi ya mabingwa katikati ya wiki, Lakini Wolves nao wamekua na fomu nzuri kwenye ligi kuu ya Uingereza hivo utakua mchezo mkali.

Jumapili kutakua na bonge la mechi kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu ya Manchester City wakua nyumbani kwenye dimba lao la Etihad kuikaribisha klabu ya Tottenham ambayo imepoteza michezo mitatu mfululizo, Mchezo unatarajiwa kua na ushindani mkubwa sana kutokana na ubora wa timu zote mbili lakini pia umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo unaweza kuweka mkwanja wako na kujipigia mkwanja.

LA LIGA

Wikiendi hii ligi kuu ya Hispania nayo pia haitapoa kwani klabu ya Real Madrid vinara wa ligi hiyo watashuka dimbani kuwakaribisha Granada katika mchezo wa ligi hiyo utakaopigwa katika dimba la Santiago Bernabeu.

Klabu ya Girona ambayo imekua na msimu bora katika ligi kuu ya Hispania msimu huu wakikamata nafasi ya pili nyuma ya klabu ya Real Madrid wao watakua nyumbani kucheza dhidi Valencia. Mchezo huu umepewa odds nzuri pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigie maokoto ya kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Jumapili mabingwa watetezi wa soka nchini Hispania klabu ya Barcelona watakua na kibarua kikali katika dimba lao la nyumbani, Kwani watawakaribisha klabu ya Atletico Madrid ambao wapo kwenye kiwango kikubwa zaidi msimu huu mchezo ambao unatarajiwa kua mkali na kuthibitisha hilo umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Serie A

Ligi kuu ya Italia nayo kitapigika wikiendi hii klabu ya Ac Milan itashuka dimbani Jumamosi kumenyana na klabu ya Frosinone katika mchezo ambao Milan wanapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo, Lakini Frosinone wanatarajiwa kutoa ushindani mkubwa vilevile.

Mchezo mwingine unaotarajiwa kupigwa katika ligi kuu ya Italia ni kati ya Lazio ambao watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Cagliari, Mchezo ambao unatarajiwa kua na ushindani mkubwa kwani vilabu vyote viko katikati kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Jumapili pale katika dimba la Diego Armando Maradona klabu ya Napoli itawakaribisha vinara wa ligi kuu ya Italia klabu ya Inter Milan katika mchezo ambao unatarajiwa kua mkali kwelikweli kutokana na ubora wa vilabu vyote viwili, Lakini pia mchezo huu utatoa fursa kwa wateja wa Meridianbet kupiga mkwanja kwani umepewa ODDS KUBWA.

Bundesliga

Ligi kuu ya Ujerumani kitapigwa vilevile wikiendi huu ambapo klabu ya Bayern Munich ambao wanashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya Ujerumani watakua nyumbani katika dimba la Allianz Arena  wakicheza na klabu ya Union Berlin mchezo ambao umepewa odds nzuri pale Meridianbet katika machaguo mbalimbali.

Klabu ya Rb Leipzig nao watakua uwanjani Jumamosi hii wakicheza na klabu ya FC Heidenheim klabu iliyopanda daraja msimu huu,Lakini haifanyi vibaya sana hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani.

Jumapili ndio wiki itafungwa kibabe pale BayArena ambapo vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen wataikaribisha klabu ya Borussia Dortmund katika mchezo mkali wa ligi hiyo, Mchezo huo utakua wa kukata na shoka kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa na utakua sehemu ya wewe kupiga hela pale Meridianbet kwani umepewa ODDS KUBWA na za kibabe.

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA JWANENG
Next articleJWANENG 0-0 SIMBA