Msafara wa Simba SC ndani ya Afrika Kusini
WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba SC chini ya Meneja Mkuu Dimitar Pantev wanakibarua kuelekea mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika na mapema Oktoba 16 2025 walianza safari kuelekea Eswatini. Tayari Msafara wa kikosi cha Simba SC wenye wachezaji 22 umewasili salama Afrika Kusini ikiwa ni njia kwa ajili ya kuelekea Eswatini. Safari ya Simba SC…