Michezo Mechi Moto za UEFA Europa League Kurudi Leo Hii

Hatimaye, Ludogorets kutoka Bulgaria watakutana na Real Betis ya Hispania. Betis wanakuja wakiwa na rekodi nzuri ya La Liga, lakini Ludogorets wamekuwa wagumu nyumbani na wana rekodi nzuri ya kuwasumbua vigogo wa Ulaya. Mashabiki wanatarajia mechi yenye mabao na burudani ya hali ya juu. Mashabiki wa soka na wale wabashiri mnakaribishwa pale Meridianbet, kwani odds ni kubwa kwa kila mchezo…

Read More

Huyu hapa atajwa kuwa kocha mpya Yanga SC

INAELEZWA kuwa Yanga SC tayari wamekubaliana kila kitu na kocha mpya, Romuald Rakotondrabe ili kuwa kocho mpya hapo. Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo huenda akasaini kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kufanya kazi katika kikosi hicho kinachowakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Inaelezwa kuwa upande mwingine Romain Folz raia wa Ufaransa atapewa barua…

Read More

TFF Yaruhusu Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kutumika Kwa Michezo ya Ligi Baada ya Marekebisho

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyokidhi viwango vya kikanuni na kisheria vya mpira wa miguu. Awali, uwanja huo ulikuwa umefungwa kutokana na miundombinu yake kutokidhi vigezo vilivyowekwa katika masharti ya Kanuni na Leseni za Klabu…

Read More

Bilionea wa Nigeria Afunga Ndoa na Mke wa 19, Atetea Ndoa za Wake Wengi

Delta, Nigeria — Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjadala mkubwa nchini Nigeria baada ya kufunga ndoa na mke wake wa 19 katika sherehe iliyofanyika kwa kifahari katika kijiji chake cha Ugborodo, jimbo la Delta. Mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 43, anayejulikana kwa…

Read More

Tanzania 0-1 Zambia kuwania kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya taifa ya Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco imepoteza kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Zambia katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan Oktoba 8 2025. Goli pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 75 mfunganji Fashion Sakala akitumia pasi ya Lubambo Musonda likiwapa Zambia nafasi…

Read More

Bloomberg: Cristiano Ronaldo Bilionea wa Kwanza Katika Mpira wa Miguu

Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa mujibu wa ripoti mpya ya chombo cha masuala ya fedha, Bloomberg. Ripoti ya “Bloomberg Billionaires Index”, inayofuatilia watu matajiri zaidi duniani kulingana na thamani yao halisi, imemkadiria Ronaldo kuwa na utajiri unaofikia dola…

Read More

Mechi za Simba SC 2025/26 ndani ya 2025

MENEJA Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev ameanza kazi kwa ajili ya kuwapa mbinu wachezaji wa timu hiyo kuelekea kwenye mechi za ushindani msimu wa 2025/26. Mchezo wake wa kwanza mbinu zake zinatarajiwa kutumika kimataifa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika mrithi wa mikoba ya Fadlu Davids ambaye alitua Bongo Oktoba 4 2025. Mchezo…

Read More