
TANZANIA YAFUNGUA CHAN KWA USHINDI, WAKOMBA MAMILIONI YA MAMA
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungua pazia la CHAN 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa Agosti 2 2025 mbele ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia burudani hiyo. Mabao yamefungwa na Sopu dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na Clement Mzize katika mchezo wa kundi…