
SIMBA SC YAPASWA KUJIVUNIA MWAMBA HUYU HAPA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania. “Katika vitu ambavyo tunapaswa kujivunia kwa hali na mali Wanasimba ni uwepo wa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Yupo likizo lakini alitoka Afrika Kusini na kuelekea Dubai kuongea na Mo. “Kwa sasa…