Chelsea 2-1 Liverpool: Kinda Estêvão Aivusha The Blues kwa Bao la Dakika ya 96
Kinda chipukizi Estêvão ameibuka shujaa wa Chelsea baada ya kufunga bao la dakika za majeruhi lililoipa The Blues ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya mabingwa watetezi, Liverpool, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa usiku huu kwenye dimba la Stamford Bridge, London. Chelsea walianza mchezo kwa kasi na walipata bao la kuongoza dakika ya…