Yanga SC vs Wiliete SC ni Jumamosi hii kwa Mkapa
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Wiliete SC Jumamosi hii. Yanga SC itaingia uwajani ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 3-0 waliyopata katika mchezo wa ugenini mabao yakifungwa na Aziz Andambwile aliyefungua ukurasa katika anga la kimataifa, Edmund John na Prince Dube. Ali…