
AUCHO ISHU YAKE NA YANGA SC IPO HIVI
KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani. Yanga SC ni mabingwa wa ligi msimu wa 2024/25 na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza ni Aucho. Baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700, Aucho alicheza mechi 22 akikomba dakika…