MERIDIANBET YACHANGIA MASHINE ZA SANITIZER MWENGE HOSPITALI
Katika dunia ya leo, ambapo afya na usafi ni nguzo muhimu ya maisha bora, kampuni ya michezo ya kubashiri Meridianbet imethibitisha tena dhamira yake ya kusimama bega kwa bega na jamii. Hii imejidhihirisha kupitia msaada wao wa mashine za kuwekea sabuni na sanitizer ulioelekezwa Hospitali ya Mwenge, Dar es Salaam. Mashine hizi zitakuwa suluhisho muhimu…