Hiki hapa kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC
MABINGWA watetezi wa taji ya Ngao ya Jamii wapo Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa ushindi ndani ya uwanja. Dakika 45 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Mkapa ukiwa unasoma Yanga SC 0-0 Simba SC, Septemba 16 2025 huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Katika mchezo wa leo mwamuzi wa kati ni Ahmed Arajiga ambaye anasimamia…