
HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA SC ANGA LA KIMATAIFA
KWENYE anga la kimataifa Simba SC ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali itacheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana. Simba SC msimu wa 2024/25 ilikuwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Msimu wa 2025/26 itakuwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya droo michuano ya CAF ngazi ya klabu CAF CL na…