
BEKI WA KAZI AZAM MAMBO BADO
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Pascal Msindo beki wakupanda na kushuka bado hajawa imara kwa sasa kutokana na maumivu ambayo aliyapata kwenye mchezo wa ushindani ndani ya ligi namba nne kwa ubora Afrika. Ilikuwa ni mbele ya Yanga katika mchezo wa Dar Dabi beki huyo alipata maumivu baada ya kuchezewa faulo na beki Kibwana…