HARRY KANE, RODRI, BARELLA WOTE DIMBANI KUKUPA PESA

Unaweza kupiga mkwanja na Meridianbet leo hii ambapo wachezaji wakali wapo uwanjani leo, huku Uingereza, kule Itali weka dau lako sasa ubashiri na uibuke bingwa sasa.

Watoto wa Mfalme, England watakuwa na kibarua cha kuwakabili Denmark katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi ya mwisho kukutana ikiwa ni kwenye EURO 2020 na Southgate na vijana wake walishinda. 5.48 na 1.68 ndio ODDS za mechi hii.

Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii Uingereza kwani wana kikosi bora kama vile, Harry Kane, Foden, Jude Bellingham, Saka na wengine wengi, huku kwa upande wa Denmark wao wana wachezaji kama vile Hojberg, Christian Eriksen, Hojlund ambao wanahitaji ushindi leo. Je nani kushinda leo?. Jisajili sasa.

Slovenia baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, leo hii ataumana dhidi ya Serbia ambao wlaipoteza mchezo wa kwanza. Lakini Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda Serbia kwa ODDS 1.75 kwa 4.90. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, ilikuwa mwaka 2022 na walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Beti mechi hii.

Michuano ya EURO inaendelea kushika hatamu, hivyo suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Siku ya leo itanogeshwa zaidi na Spain na Italy huku timu hizi zikianza vyema mechi zao za kwanza. Hispania chini ya Luis de la Fuente walimfumua mtu bila kuruhusu bao lolote wakati Spalletti na vijana wake walifanya “Come back”.

Hispania ina Yamal, Morata, Rodri, Nacho, Carvajal, wakati kwa Italia wana Federico Chiesa, Jorginho, Barella, Scamacca na wengine kibao. Je ni upande upi unaupa pesa yako wakupe pesa zaidi?. Bashiri mechi hii.

Vilevile hapo kesho EURO itaendelea, Slovakia baada ya kumpasua mtu atakiwasha dhidi ya Ukraine ambao wamechapika mchezo wao uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi UK kwa ODDS 2.11 kwa 3.57.

Je Ukraine baada ya kuanza vibaya michuano hii, kwenye huu mchezo wa pili wanaweza kufanya maajabu yoyote?. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet.

Poland wao watakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Austria huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza, hivyo hapa kila timu inataka ushindi wa hali na mali. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Takwimu zinaonyesha kuwa 2019 walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Suka jamvi lako hapa.

Wakati utamu wa EURO utakuwa ni Netherland dhidi ya France ambao walipata ushindi mwembamba mechi yao ya kwanza, vilevile bado taarifa hazijatoka kama nahodha wao Kylian Mbappe atakuwepo au baada ya kuumia mechi iliyopita.

Zinakutana timu mbili ambazo zote zina wachezaji wazuri kwa Uholanzi kuna Memphis Depay, Gakpo, Xavi Simons, Dumfries, Ake na wengine wengi wakati kwa Les Blues wao wana Rabiot, Mbappe, Griezmann, Kante, Hernandez na wengine kibao. Meridianbet wanampa asilimia 1000 Ufaransa kushinda kwa ODDS 2.25 kwa 3.14. Wewe unampa nani?. Jisajili hapa.