
MTIBWA SUGAR WANAHITAJI MAOMBI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kuwa kwa sasa unahitaji maombi ya Watanzania ili waweze kurejea kwenye ubora wakiwa uwanjani. Kwenye msimamo Mtibwa Sugar ikiwa imecheza jumla ya mechi saba imekusanya pointi mbili pekee jambo ambalo linawapa tabu mashabiki na mabosi wa timu hiyo. Haijaambulia ladha ya ushindi mpaka wakati huu ambapo ipo nafasi ya…