
SALAH ACHEKA ISHU YA BALLON D’OR
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Liverpool, chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Jurgen Klopp. Mohamed Salah amecheka alipoulizwa kuhusu suala la kuwa nafasi ya sita kwenye tuzo za Ballon d’Or. Kwenye tuzo nyota huyo alishika nafasi ya sita huku namba moja ikiwa mikononi mwa Lionel Messi anayekipiga ndani ya PSG. Kutwaa tuzo hiyo Messi anakuwa ni…