
KIUNGO MPYA WA YANGA HESABU ZAKE KUBWA KWELI
CHICO Ushindi kiungo mpya ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba hesabu kubwa baada ya kuwa ni mali ya Yanga ni kuweza kuipa ushindi timu hiyo kwenye mechi ambazo watacheza. Ushindi ni moja ya usajili mpya kwenye dirisha dogo na alitambulishwa Tanga, Uwanja wa Mkwakwani wakati ubao uliposoma Coastal Union 0-2 Yanga. Kiungo huyo…