
HAJI MANARA: SIJUI LOLOTE KUHUSU OFISA HABARI WA SIMBA,NI NANI?
HAJI Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa hajui jambo lolote kuhusu Ofisa Habari mpya wa Simba, Ahmed Ally. Manara mwaka jana alisepa kwenye majukumu yake ndani ya Simba kutokana na mvutano uliokuwa ndani ya timu yake hiyo ya zamani ambayo aliwahi kusema kwamba anaipenda tangu akiwa mgogo. Kwa sasa Manara anatimiza majukumu yake ndani…