
DEUS KASEKE ATAJWA KUSEPA YANGA
IMEELEZWA kuwa kiungo wa mpira mali ya Yanga, Deus Kaseke yupo mbioni kusepa ndani ya kikosi hicho ili akapate changamoto mpya katika timu nyingine. Mtibwa Sugar inapewa nafasi kuweza kupata saini ya kiungo huyo ambaye kwa sasa hana nafasi kikosi cha kwanza cha Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Leo Januari 4 Yanga inatarajiwa kuibukia Zanzibar kwa…