
SABABU ZA AJIBU KUACHWA SIMBA IPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya timu hiyo kuachana na baadhi yamastaa akiwemo kiungo, Ibrahim Ajibu aliyejiunga na Azam ni kuwaambia wazi kuwa hawakuwa na nafasi ndani ya kikosi chake. Simba ilitangaza rasmi Desemba 30,2021 siku ya Alhamisi kusitisha mkataba na Ajibu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili, ambapo nyota huyo tayari ametangazwa kusaini mwaka…