>

HAPPY NEW YEAR 2022 LIGI KUU BARA IPO HIVI

LEO Januari Mosi, 2022 ikiwa ni ‘Happy New Year’ unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa.

Pande zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu ambapo nahodha wa Azam FC, Sospeter Bajana amesema kuwa mchezo wa soka ni mchezo wa kiume.

Kwa upande wa nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa wanawaheshimu Azam FC ni timu kubwa ila watapambana kusaka pointi tatu.

Happy New Year 2022